Huduma Nyumbani — Fade
TSh 70,000Kinyozi anakuja kwako kwa fade na line-up
Chagua kutoka vifurushi vyetu vya kawaida na maalum
Kinyozi anakuja kwako kwa fade na line-up
Kukata, ndevu, taulo ya moto nyumbani kwako
Kukata kwa usahihi na mstari
Beard cut and triming
Kukata nywele + matunzo ya ndevu
Professional Hair Treatment
Matibabu ya hali ya juu na mvuke
Kukata nywele kwa watoto
Kukatana kutunza kucha za miguu
hands Nails treatment
Facial treatment
Face treatments
Tazama kazi yetu kabla ya kuweka miadi
Chagua vifurushi vyako na uviweke kwenye kikapu
Nenda kwenye malipo na uchague mtandao wa malipo
Fuata maelekezo ya malipo na uweke namba ya muamala
Pokea uthibitisho wenye muda wa miadi yako
M-Pesa
Yas Mixx
Airtel Money
Scan QR (Lipa kwa simu)Mteja anaruhusiwa kuweka nafasi ya huduma kwa saa kamili (mfano, saa 12:00). Baada ya kukamilisha malipo ya nafasi hiyo, mteja anatakiwa kufika ndani ya dakika 15 za kwanza baada ya muda aliopangiwa. Kwa mfano, ikiwa nafasi yake ni saa 12:00, anatakiwa kufika kati ya saa 12:00 na saa 12:15. zaidi ya hapo Miadi ita kanseliwa